2 Nov 2026 1:18 pm | Citizen TV 333 views Duration: 1:57 Katika hatua ya kurejesha imani ya umma na kuimarisha utawala, mashirika ya sekta za umma na binafsi yametakiwa kukumbatia uwajibikaji, kuboresha utendaji wao na kuwekeza katika kujenga uwezo wa utendakazi.