- 323 viewsDuration: 3:16Ongezeko la visa vya utapiamlo miongoni mwa watoto wadogo wenye umri wa miaka mitano kurudi chini katika kijiji cha Kalokol kaunti ya Turkana, limeyachochea mashirika yasiyokuwa ya serikali kuingili kati na kuwanusuru watoto walioathirika. Mashirika hayo yanahamasiha kina mama kuhusu umuhimu wa lishe bora kwa manufaa ya afya ya watoto wao.