Skip to main content
Skip to main content

Maslahi ya walemavu Nyandarua

  • | Citizen TV
    240 views
    Duration: 1:38
    Walemavu zaidi ya 1,000 katika kaunti ya Nyandarua wanatarajiwa kunufaika na vifaa vya kuwasaidia kutembea pamoja na vifaa vingine , baada a zoezi la tathmini kukamilika katika Ukumbi wa Jamii wa Manispaa ya Ol-Kalou.