Skip to main content
Skip to main content

Matumaini ya kuwapata manusura Eastleigh yafufuka

  • | Citizen TV
    25,580 views
    Duration: 3:13
    Matumaini ya kuwapata wakiwa hai baadhi ya watu waliokwama kwenye vifusi vya jumba la ghorofa 18 lililoporomoka Eastleigh wiki jana yamefufuka. Hii ni baada ya familia ya watu wawili waliokwama kuthibitisha kuwa simu ya mmoja wao inaingia na kupokelewa, lakini anayepokea hazungumzi. Maafisa wa upelelezi wanafuatilia nambari hiyo ya simu kubaini ilipo na kusaidia kuwaokoa waliokwama.