- 2,941 viewsDuration: 1:57Hali imeendelea kuwa ya hofu katika eneo la tipis kwenye mpaka wa narok na nakuru ambako mapigano yameshuhudiwa kati ya jamii mbili za eneo hilo. Hii ni baada ya nyumba tatu zaidi kuteketezwa moto kwenye siku ya pili ya mzozo huu.