Skip to main content
Skip to main content

Mauaji ya Mtoto Pendo

  • | Citizen TV
    2,950 views
    Duration: 59s
    Mashirika ya kijamii yamewasilisha kesi upya kupinga uamuzi wa kuondoa mashtaka dhidi ya maafisa wanane wa polisi wanaohusishwa na ghasia za baada ya uchaguzi wa 2017 mjini Kisumu, yakiwemo mauaji ya mtoto Pendo.