Skip to main content
Skip to main content

Mauaji ya mwanafunzi katika taasisi ya mafunzo ya ufundi Thika

  • | Citizen TV
    3,530 views
    Duration: 2:07
    Familia ya Elizabeth Ngina, mwanafunzi katika taasisi ya mafunzo ya ufundi ya Thika kaunti ya Kiambu, yataka uchunguzi wa haraka na wa kina kufanyika kuhusu mauaji ya kinyama ya binti yao ambaye mwili wake wapatikana katika nyumba ya kupanga eneo la Kiang'ombe mjini Thika.