- 6,142 viewsDuration: 2:59Afisa mkuu wa polisi anayesimamia silaha katika kituo cha polisi cha Central amepinga madai ya kuficha ukweli kuhusu sajili ya silaha wakati wa maandamano ya Gen Z mwaka jana. Afisa huyu Fredrick Okapesi huku akikiri mkanganyiko katika sajili ya silaha, ameiambia mahakama kuwa hakuna jaribio lolote la kuficha ukweli.