6 Nov 2026 1:10 pm | Citizen TV 1,149 views Duration: 1:25 Muungano wa mawakili tawi la South West Kenya wameungana na wenzao kitaifa kushinikiza serikali na idara ya usalama kuachilia huru wakili Abshir Abdi aliyekamatwa na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama.