Skip to main content
Skip to main content

Mazishi ya kifahari ya wanyama

  • | BBC Swahili
    16,947 views
    Duration: 1:52
    Huku idadi ya watu wanaofuga wanyama wa nyumbani ikiongezeka nchini Kenya, mtazamo kuhusu nafasi yao katika familia nao unabadilika kwa kasi. Sasa, wanyama hawa hawachukuliwi tena kama walinzi au kwa matumizi ya kawaida pekee, bali kama sehemu ya familia. Katika mtaa wa Karen, jijini Nairobi, kuna eneo maalum linaloonyesha mabadiliko hayo, ambako wamiliki wanawapa wanyama wao heshima ya mwisho wanapofariki. Mwanahabari wetu @mariammjahid alitembelea makaburi hayo na kutuandalia taarifa ifuatayo. #bbcswahili #wanyama#foryou #kenyantiktok🇰🇪 #tanzaniantiktok🇹🇿 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw