- 10,159 viewsDuration: 9:40Mkanganyiko kuhusu iwapo mazungumzo yatafanyika kati ya Marekani na Iran au la umeendelea. Katika chapisho la mitandao ya kijamii, Rais Donald Trump alisema wapatanishi wa Tehran wamekuwa "wakiiomba" Marekani kufanya makubaliano, akiongeza kwamba jeshi lao "limeangamizwa" na hakuna "nafasi yoyote ya kushambulia". Hata hivyo Iran imekanusha kwamba mazungumzo na Marekani yamekuwa yakifanyika. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw