Skip to main content
Skip to main content

Mbio za Chepsaita zafufua matumaini ya elimu kwa wanafunzi wa mashinani Uasin Gishu

  • | Citizen TV
    533 views
    Duration: 3:27
    Miundo mbinu duni na ukosefu wa karo ni swala moja wapo linalozidi kutatiza na kuzima ndoto ya elimu ya maelfu ya wanafunzi maeneo ya mashinani hasa katika kijiji cha Chepsaita kaunti ya Uasin Gishu. Ila kuanzishwa kwa mbio za Chepsaita kulileta matumaini mapya kwa shule za eneo hilo kwa kujengewa miundomsingi bora.