Skip to main content
Skip to main content

Mbio za hisani za Run for Seniors zazinduliwa rasmi

  • | Citizen TV
    131 views
    Duration: 1:42
    Mbio za hisani zinazolenga kuboresha maisha ya wazee wanaoishi katika mazingira magumu nchini zimezinduliwa rasmi kuelekea hafla ya Run for Seniors itakayofanyika Julai 18 katika Karura Forest. Waandalizi wanasema shughuli hiyo inalenga kukusanya rasilimali za kusaidia wazee wenye mahitaji mbalimbali na kuhamasisha jamii kuhusu umuhimu wa kuwajali wazee.