- 312 viewsDuration: 1:06Mbunge wa Kimilili Didmus Barasa aeleza wasiwasi wake kuhusu changamoto ziwakumbazo walimu wa shule za sekondari msingi, akitaka kusitishwa kwa uhamisho wao kwa muda wa miaka mitano ili kuruhusu shule hizo kupata uhuru wakujisimamia kikamilifu.