- 460 viewsDuration: 1:25Mbunge wa Nyeri Town Duncan Mathenge amewataka Wakenya kuwakataa viongozi wanaotumia kauli za uchochezi na zinazolenga kuwagawa wananchi, akisema matamshi hayo yanatishia umoja na amani ya taifa. Mathenge ameitaka Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano NCIC, kuwachukulia hatua kali wanasiasa wachochezi