- 4,284 viewsDuration: 1:10Kocha wa timu ya taifa ya kandanda Harambee Stars, Benni McCarthy, amewajumuisha nyota watatu wa Rising Stars katika kikosi chake kwa mechi za kufuzu kwa Kombe la Mataifa ya Afrika 2027. Aldrin Kibet wa Celta Vigo, Amos Wanjala wa Valencia ya Uhispania na Kevin Wangaya wa Nairobi United wamejumuishwa katika kikosi kitakachocheza mechi mbili dhidi ya Eritrea na Guinea.