Skip to main content
Skip to main content

Mchakato waanzishwa kuleta wazee wa kitaifa pamoja

  • | Citizen TV
    345 views
    Duration: 2:09
    Msindi wa tuzo la Nelson Mandela la Umoja wa mataifa Kennedy Odede, ameanzisha mchakato wa kuwaleta pamoja wazee wa jamii mbalimbali nchini ili kuboresha nasafi ya uongozi wa wazee kitamaduni. Akiongoza kikao cha siku mbili chenye kauli mbiu ya 'utamadumi, amani, uwiano na maendeleo' mwasisi huyo wa shirika la Shofco, alieleza kuwa utangamano huo utamaliza ukabila na hasa msimu huu wa kampeni za kisiasa. mwenyekiti wa baraza la wazee la kitaifa meja mstaafu John Seii alisema kazi yao ni kuwa waangalizi wa kutoa ushauri utakaozingatia maadili kwa viongozi.