Skip to main content
Skip to main content

Mdahalo wa uhamisho wa ununuzi mtandaoni waendelea

  • | Citizen TV
    192 views
    Duration: 1:41
    Gavana wa Murang'a, Irungu Kang'ata na Seneta wa Kitui, Enoch Wambua, wamehimiza Hazina ya Kitaifa kuharakisha utekelezaji wa mfumo wa ununuzi wa bidhaa na huduma kupitia mfumo wa kidijitali ili kutoa fedha kwa serikali za kaunti