27 Oct 2026 1:27 pm | Citizen TV 311 views Duration: 1:32 Huenda shughuli za ukusanyaji ushuru katika serikali ya kaunti ya bungoma zikakumbwa na changamoto kutokana na mgogoro kati ya maafisa wa ukusanyaji ushuru na idara ya askari wa serikali ya kaunti.