Skip to main content
Skip to main content

Mgogoro waibuka kati ya John Mbadi na familia ya Odinga

  • | Citizen TV
    13,872 views
    Duration: 3:09
    Mgogoro mpya unatokea kati ya Waziri wa Hazina ya Kitaifa, John Mbadi, na familia ya Odinga kufuatia matamshi yake kuhusu usimamizi wa chama cha ODM. Kauli ya Mbadi kwamba Raila hayupo tena imeonekana kuwakera mjane wa Raila, Ida Odinga, pamoja na mwanawe marehemu Winnie Odinga na hata dada yake, Ruth Odinga.