- 1,094 viewsDuration: 2:01Maelfu ya wasafiri wametatizika huku wengine wakilazimika kukatiza safari zao kufuatia mgomo wa wahudumu wa viwanja vya ndege nchini. Shughuli zililemazwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta hapa Nairobi na ule wa Moi jijini Mombasa, huku Muungano wa Wafanyakazi wa Viwanja vya Ndege wakisema serikali imeshindwa kutimiza matakwa yao, kama Francis Mtalaki anavyoarifu.