Skip to main content
Skip to main content

Mhariri wa picha wa RMS Bob Maxwell Otiang’a azikwa Siaya

  • | Citizen TV
    2,782 views
    Duration: 1:41
    Mhariri wa picha wa Royal Media Services, Bob Maxwell Otiang’a, alizikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Ulumbi kaunti ya Siaya Jumamosi katika hafla iliyohudhuriwa na jamaa, marafiki na wafanyikazi wenzake Waliomuomboleza Otiang’a walimataja kama mtu mkarimu, na mchapa kazi aliyeahidi kuiinua familia yake. Kazini, Bob pia alisifiwa sio tu kwa utendakazi wake bali pia sifa za kujumuika na kila mmoja aliyetangamana naye. Bob, aliyekuwa na umri wa miaka 23 alifariki baada ya kuugua kwa muda.