Skip to main content
Skip to main content

Miche 4,000 ya asili yapandwa kurejesha maeneo yaliyoharibika katika msitu wa Ngong

  • | Citizen TV
    546 views
    Duration: 1:36
    Miche zaidi ya 4,000 ya asili imepandwa katika eneo la Naserian msitu wa ngong katika kaunti ya kajiado, kwenye mpango wa kurejesha maeneo ya msitu yaliyoharibika.