5 Nov 2026 2:22 pm | Citizen TV 297 views Duration: 1:20 Timu ya taifa ya wasichana ya mpira wa mkono wa ufukweni maarufu sand queens, imepata motisha kutoka kwa timu ya taifa ya raga ya wasichana , iliyotawazwa mabingwa wa michezo ya olimpiki ya vijana jijini Dakar, Senegal.