Skip to main content
Skip to main content

Migori warudisha shukrani kanisani All Saints Cathedral

  • | Citizen TV
    559 views
    Duration: 33s
    Siku moja tu baada ya kutawazwa mabingwa wa supa ligi timu ya Migori Youth ilijumuika na waumini wa kanisa la All Saint Cathedral hapa Nairobi kwa ibada ya shukrani . Wakiongozwa na mlezi wao ambaye ni Mbunge Mark Nyamita, walishukuru kwa kutimia kwa malengo ya kupanda ligi kuu nchini msimu ujao. Kikosi hicho kinajipanga kwa msimu wao wa kwanza kwenye ligi kuu.