- 3,831 viewsDuration: 2:37Idadi ya miili iliyofukuliwa kutoka kwenye vifusi vya jumba lililoporomoka mtaani Eastleigh, jijini Nairobi, wiki mbili zilizopita, sasa imefikia 8 baada ya miili 6 zaidi kutolewa. Miili hii imetolewa baada ya siku 14 za shughuli za uokoaji na kuondoa vifusi vya jumba hilo. Na kama Willy Lusige anavyotuarifu, maafisa wa uokoaji wanatoa wito wa subira huku watu 3 wakiwa bado hawajapatikana.