Skip to main content
Skip to main content

“Mimi siwezi kuruhusu mtu aje kwenye ukurasa wangu na kuugeuza jukwaa la matusi, nitamblock tu.”

  • | BBC Swahili
    17,390 views
    Duration: 1:27
    Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum nchini Tanzania amezungumza na BBC na kueleza namna anavyoungana na wananchi kupitia majukwaa ya mitandao ya kijamii. BBC ilifanya mazungumzo na Waziri Gwajima, na alieleza haya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw