Skip to main content
Skip to main content

Miradi ya umeme Machakos

  • | Citizen TV
    337 views
    Duration: 1:41
    Serikali ya kaunti ya Machakos inashirikiana na shirika la kusambaza umeme mashinani kwenye mradi wa kuunganisha umeme katika kaunti hiyo, ikilenga kununua transfoma 100 za kusambaza umeme kwa nyumba zaidi ya 30,000.