1 Sep 2026 10:45 am | Citizen TV 3,813 views Duration: 1:14 Ujenzi wa bwawa la Thwake uliokuwa umekwama kwa miaka miwili kutokana na ukosefu wa fedha utaanza tena baada ya serikali kupata shilingi Bilioni 10.6 zilizokuwa zimesalia kutoka kwa Benki ya maendeleo ya Bara Afrika.