- 1,924 viewsDuration: 3:35Mkulima mmoja katika kaunti ya Machakos anatafuta matumizi mengine ya mabaki ya uyoga aina ya oyster baada ya kumalizika kwa mzunguko wake wa kawaida wa uzalishaji ndani ya nyumba za ukuzaji. Badala ya kutupa mabaki hayo, mkulima huyo anayatumia kuzalisha uyoga zaidi kwa kuyaweka ardhini.