Skip to main content
Skip to main content

Mkuu wa shule amkabili mshambuliaji aliyeanza kurusha risasi shuleni

  • | BBC Swahili
    8,674 views
    Duration: 33s
    Tazama mkuu wa shule ya sekondari alipomkabili mshambuliaji aliyeanza kurusha risasi katika shule huko Oklahoma. Picha za CCTV zinamuonesha Mtuhumiwa Victor Hawkins akingia katika shule ya Pauls Valley na kufyatua risasi katika tukio lililotokea tarehe 7 Aprili 2026. Mkuu huyo wa shule alijeruhiwa kwa risasi mguuni wakati wa tukio hilo, lakini tayari ameruhusiwa kutoka hospitalini. Hawkins alikamatwa hapohapo eneo la tukio, na sasa anakabiliwa na mashtaka ikiwemo kufyatua risasi kwa nia ya kuua #bbcswahili #marekani #shambulizi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw