15 Sep 2026 10:48 am | Citizen TV 1,672 views Duration: 1:02 Mgombea wa ugavana wa Mandera, Mohamed Maalim Mohamud ameanzisha ziara kwa wakazi katika maeneo mbalimbali ya Kaunti ya Mandera, huku akizidisha juhudi za kutafuta uungwaji mkono kuelekea uchaguzi wa 2027.