Skip to main content
Skip to main content

Moshi wa eno la Kutupia katika kaunti ya Kajiado watatiza wakazi

  • | Citizen TV
    3,968 views
    Duration: 1:55
    Wakazi wa wadi ya Kaputiei Kaskazini, kaunti ya Kajiado, waibua wasiwasi kuhusu uchafuzi wa mazingira ambao wadaiwa kusababishwa na moshi kutoka eneo la kuhifadhi taka hatarishi la ECCL katika eneo la Empuyiankat.