8 Sep 2026 10:55 am | Citizen TV 11,299 views Duration: 1:21 Moto bado unaendelea kuwaka katika msitu wa Mlima Kenya huku juhudi za kuuzima zikiendelea. Waziri wa Mazingira Deborah Barasa ametembelea Meru kufuatilia shughuli za kuzima moto huo.