- 4,608 viewsDuration: 1:43Vuguvugu la Linda Mwananchi lasema litamwasilisha mgombezi wake wa urais kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka-2027 huku wenzao wa Linda Ground wakidhamiria kushauriana na chama tawala cha UDA. Mrengo huo uliendeleza wito wake wa uwajibikaji kwa utawala wa Kenya Kwanza unaoongozwa na rais William Ruto kuhusu masuala mbalimbali ya uongozi miongoni mwayo kufidiwa kwa waathiriwa wa ukatili wa polisi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News