Skip to main content
Skip to main content

MSF yajenga kituo maalum kujiandaa dhidi ya Ebola

  • | Citizen TV
    925 views
    Duration: 3:36
    Mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Democratic Republic of the Congo na Uganda umechochea mashirika kuanza kuweka juhudi za kujitayarisha kukabiliana na ugonjwa huo endapo utaripotiwa kuingia humu nchini. Médecins Sans Frontières (MSF) limejenga kituo maalum cha kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya kuhusu jinsi ya kukabiliana na ugonjwa huo na kuwahudumia walioambukizwa. Kituo hicho ni cha kipekee na cha pili duniani, huku kituo kingine kama hicho kikipatikana jijini Brussels.