Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa kwa mauaji ya mwanafunzi Narok afikishwa mahakamani

  • | Citizen TV
    4,327 views
    Duration: 1:02
    Mahakama ya Narok imeamuru kuwa mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanafunzi wa gredi ya nne shuleni Julius Swakesi Rankesi atasalia korokoroni kwa wiki mbili zaidi ili kutoa nafasi ya uchunguzi