Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa mwingine akamatwa kuhusiana na mauaji ya Latifa Akumu

  • | Citizen TV
    5,261 views
    Duration: 2:23
    Mshukiwa mwingine mmoja amekamatwa kuhusiana na mauaji ya msichana aliyeripotiwa kutoweka katika mtaa wa Highrise, Nairobi. Mwili wa msichana huyo, Latifa Akumu, ulipatikana katika mto Nithi, kaunti ya Tharaka Nithi. Na kama anavyoarifu Odee Francis, jana mshukiwa mkuu aliwaongoza maafisa wa upelelezi hadi kwenye nyumba aliyokuwa na marehemu mara ya mwisho.