2 Sep 2025 1:17 pm | Citizen TV 2,396 views Duration: 1:11 Mshukiwa wa mauaji ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kikuu cha Nairobi bewa la kikuyu, amekamatwa baada ya kudaiwa kumchoma kisu na kumuua mwanafunzi mwenzake kutokana na mzozo wa matumizi ya choo.