29 Sep 2026 10:20 am | Citizen TV 4,473 views Duration: 1:22 Maafisa wa kulinda wanyama pori kutoka shirika la KWS wamefanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja wa uwindaji haramu katika eneo la Dhaley viungani mwa mji wa Garissa akiwa na kipande cha nyama inayoaminika kuwa ya twiga.