- 8,108 viewsDuration: 2:45Hekaheka za kusafiri mkesha wa krismasi zimeshuhudiwa Jijini Nairobi huku umati wa watu wakikosa usafiri wa kuelekea vijijini kwa sikukuu. Na kama anavyoarifu Willy Lusige, wakenya wengi wameambulia kusalia jijini wakilalamikia gharama ya juu ya maisha na hali mbaya ya uchumi.