19 Jun 2026 10:54 am | Citizen TV 1,586 views Duration: 1:56 Mtawa Anselmina Karimi aliyeuawa na watu wasiojulikana miezi minane iliyopita azikwa katika makaburi ya Kikatoliki ya Watawa eneo la Nkabune, Kaunti ya Meru.