5 Sep 2025 10:41 am | Citizen TV 247 views Duration: 1:07 Mtetezi wa haki za kibinadamu kutoka Kilgoris, Transmara Mashariki Johanna Kamilan amekanusha madai ya kutamka maneno ya uchochezi yaliyosababisha vita kuzuka eneo hilo