Skip to main content
Skip to main content

Mtoto mwenye ndoto za kuwa rais wa dunia

  • | BBC Swahili
    29,634 views
    Duration: 1:13
    Yandra Mawée Tikuna, mwenye umri wa miaka sita tu, ni mshawishi wa mtandaoni ambaye sauti yake yenye nguvu kuhusu haki za jamii kwa wakazi wa jimbo la Amazonas nchini Brazil imesikika hadi na mamlaka za nchi hiyo Kwa kutumia ukurasa wake wenye zaidi ya wafuasi 750,000, amefanikiwa kuishawishi serikali kuboresha mazingira ya shule iliyopo kwenye eneo hilo - - #bbcswahili #malezi #watoto #foryouシ Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw