Skip to main content
Skip to main content

'Mtoto wangu alianza kuwa mweupe kuzeeka kabisa'

  • | BBC Swahili
    4,168 views
    Duration: 14:26
    Katika mazingira tulivu, eneo la Githurai, jijini Nairobi, mama mmoja mwenye azma ya dhati amejitolea maisha yake kumlea mtoto wake wa pekee aliye na ugonjwa wa mtindio wa ubongo yaani cerebral palsy, huku akijitahidi kupenya katika ulimwengu ambao mara chache hutoa fursa kwa ajili yake na hali ngumu ya kifedha na uchovu wa kihisia vikitishia kumlemea. Mwezi mzima wa Machi unatambulika kuwa Mwezi wa Kitaifa wa Uhamasishaji wa Ugonjwa wa Kupooza kwa Ubongo. Mwandishi wa BBC Asha Juma alimtembelea mama huyo na kutuandalia makala ifuatayo. - - 🎥 @brianmala #bbcswahili #malezi #afya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw