- 11,417 viewsDuration: 3:15Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameendelea kumkosoa Katibu Mkuu wa UDA, Hassan Omar, kufuatia matamshi yake anayosema ni ya kuchochea na kuibua taharuki. Omar, ambaye alisema hata waliofariki watasajiliwa kuwa wapiga kura, pia amekosolewa na Tume ya Uchaguzi, IEBC, ambayo imesema matamshi hayo yanaweza kuzua hofu huku Kenya ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu mwaka ujao.