Skip to main content
Skip to main content

Mudavadi anadai rais mstaafu Kenyatta anamhadaa Sifuna

  • | Citizen TV
    7,705 views
    Duration: 2:11
    Mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi amemshtumu rais mstaafu uhuru kenyatta kwa kuipotosha jamii ya Mulembe kutokana na madai kuwa anafadhili kampeni za kinara wa linda mwananchi Edwin Sifuna. Mudavadi anazua masuali kuhusu nia ya Kenyatta, akisema kuwa angempa sifuna uongozi wa chama chake cha Jubilee iwapo kweli ana imani naye.