Skip to main content
Skip to main content

Murang’a yazindua miradi ya miundombinu Kenol kuvutia wawekezaji katika jiji la viwanda

  • | Citizen TV
    826 views
    Duration: 1:52
    Serikali ya Kaunti ya Murang'a imezindua miradi mipya ya miundomsingi katika Manispaa ya Kenol huku kaunti hiyo ikilenga kuwavutia wawekezaji katika Jiji la Viwanda inalojenga ili kushindana na Nairobi.