Skip to main content
Skip to main content

Murkomen aahidi usalama katika mikutano ya kisiasa

  • | Citizen TV
    1,131 views
    Duration: 1:05
    Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, sasa anasema kuwa serikali imekabiliana na visa vya wahuni kuvuruga mikutano ya kisiasa kupitia operesheni za maafisa wa polisi. Waziri Murkomen ameahidi kuwa mikutano ya kisiasa itakuwa salama. Hata hivyo, baadhi ya wabunge wamewalaumu polisi kwa kushindwa kuwakamata wanasiasa wanaohusishwa na ufadhili wa magenge hayo, huku Murkomen naye akizielekezea lawama mahakama kwa kuwapendelea wanasiasa. Willy Lusige na taarifa hiyo.