15 May 2026 7:44 pm | Citizen TV 625 views Duration: 1:23 Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen ameamuru kusitishwa kwa ujenzi wa kambi ya maafisa wa usalama katika eneo la Tiitu linalozozaniwa na kaunti za Marsabit na Wajir.